Usipobadilisha maisha yako maisha yako yatakubadilisha.




(No Ratings Yet)Utakapofika mwisho wa njia, geuka. Huo ndiyo mwanzo wa njia nyingine.




(No Ratings Yet)Serikali inayodhulumu wananchi wake ni hatari kuliko simba.




(No Ratings Yet)Ukiwapa watu kile wanachokitaka wataendelea kukihitaji.




(No Ratings Yet)Watu wanahitaji elimu na ajira kuwaepusha na janga la madawa ya kulevya.




(No Ratings Yet)Kigumu kuliko vyote ni kizuri kuliko vyote.




(No Ratings Yet)Kula sana ni kujichimbia kaburi kwa meno yako mwenyewe.




(No Ratings Yet)Kikwazo kikubwa cha kwenda mbinguni ni kifo!




(No Ratings Yet)Jielimishe, usitegemee walimu kukuelimisha.




(No Ratings Yet)Do Not Sell My Personal Information
Exercise your consumer rights by contacting us below Privacy Policy
Personalized advertisements
Turning this off will opt you out of personalized advertisements delivered from Google on this website.
