Nitajisikia raha sana kufungwa kwa ajili ya matatizo watu.




(No Ratings Yet)Acha alama katika dunia baada ya kuondoka.




(No Ratings Yet)Sex to me is not luxury any more. It is necessity of reproduction.




(No Ratings Yet)Wakati mwingine tukitaka kufanikiwa lazima tujifunze kutunza siri.




(No Ratings Yet)Mdanganyifu hudanganya wanaopenda kudanganywa.




(No Ratings Yet)Read non-interesting books!




(No Ratings Yet)Imani huchukua miaka mingi kuijenga lakini sekunde chache kuibomoa.




(No Ratings Yet)Watu hawaheshimu wewe ni nani au unatoka wapi. Wanaheshimu nguvu ya matendo yako.




(No Ratings Yet)Kujiua ni ubinafsi kwa sababu ya watu wanaokupenda.




(No Ratings Yet)Do Not Sell My Personal Information
Exercise your consumer rights by contacting us below Privacy Policy
Personalized advertisements
Turning this off will opt you out of personalized advertisements delivered from Google on this website.
