Quotes.wiki
  • Home
  • Tags
  • Authors
  • Contact Us
">
Quotes.wiki
Quotes.wiki
  • Home
  • Tags
  • Authors
  • Contact Us
Mtu  Quotes
Kila mtu ana tabia, matendo, mawazo na akili yake tofauti na mtu mwingine hapa duniani. Usimdharau mtu ukidhani ana akili kama za kwako au anafikiri kama unavyofikiri wewe kwani kila mtu aliumbwa kivyake na Mwenyezi...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
ActsAkiliAttitude
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Hufanani na yoyote katika dunia hii. Unafanana na wewe mwenyewe. Usimdharau mtu, humjui!

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AnimalAnyDharau
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Palestina ni nchi ya Waisraeli waliyopewa na Mungu wa Yakobo. Hata hivyo, hawakutimiza masharti. Mungu aliwaagiza kuua kila mtu katika nchi ya Kaanani na miji yake yote. Waisraeli, wakiongozwa na Yoshua, waliua watu wengi katika...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AbrahamAshdodiCanaan
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Mwili wako una uwezo wa kujua kabla yako kitakachotokea baadaye. Kama una njaa kwa mfano, mwili wako utakwambia. Kama una kiu, mwili wako utakwambia. Kama unaumwa, mwili wako utakwambia. Kama kuna kitu kibaya kinatarajia kutokea...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AlamuBodyDaemon
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Hasira ni Shetani. Hekima ni Mungu. Kila kitu kimo ndani yetu. Hasira imo ndani yetu. Hekima imo ndani yetu. Atomu ni matofali ya ujenzi wa kila kitu ulimwenguni likiwemo jua na miili ya wanadamu. Ndani...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AngerAsanteAtom
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Jambazi aliyekubuhu hawezi kumuua mtu bila kumwambia kwa nini anamuua. Si sheria ya John Murphy. Ni sheria ya EAC.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
CriminalEacJambazi
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Ikiwa huna pesa na una mke na watoto kwa mfano, mke wako (wanawake walio wengi) hatakuona wa maana kwa sababu ya ustawi wa maisha ya familia yake. Ikiwa una mwanamke asiyekuwa na busara au hekima...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AkiliBrainBusara
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayetaka mabaya katika maisha yake. Mwanamume atake mwanamke mwenye matendo mema. Mwanamke atake mwanamume mwenye matendo mema. Misingi ya hasanati ni misingi ya utu. Tukiishi katika misingi ya utu, misingi...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
Akili-TimamuEvilFoundations
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Mungu humwambia mtu kitu cha kusema na mtu huwambia wenzake kile ambacho Mungu amemwambia aseme. Lakini utajuaje kama Mungu amekuchagua wewe kusema au kufanya kitu? Mungu atakwambia kupitia Roho Mtakatifu, na utajisikia msukumo mkubwa wa...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
CommunicationGodHoly-Spirit
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Kila mtu anapaswa kuwa na siri angalau moja katika maisha yake.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AngalauAt-LeastLife
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Kama umefanya au umesema kitu kibaya na ukasema ukweli mbele ya mtu au ya watu, omba msamaha kupata tena kibali cha umma.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
ApprovalForgivenessKibali
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Nyota ni kipaji, kipawa, takdiri, karama, au uweza; ni kiashiria cha rohoni kinachoonyesha mtu atakuwa nani baadaye, mafanikio ya mtu, au takdiri ya maisha ya mwanadamu. Unabii na nyota ya ufalme ni kibali cha Mungu...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
DestinyFunguoGift
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Ukiua mtu bila kumwambia kwa nini unamuua anaweza kujua umemuua kwa kumwonea. Akijua umemuua kwa kumwonea roho yake inaweza kukusumbua wewe na familia yako maisha yenu yote. Makachero wa EAC wana leseni ya kuua. Lakini...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
Bad-LuckBahati-MbayaEac
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Mtu akikutukana mwambie asante. Akikupiga mwambie asante. Akiendelea kukupiga, pigana.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AppreciationsAsanteFight
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Mtu akikutukana mwambie asante au samahani. Asante au samahani vina nguvu kuliko kuomba (asikutukane) au kutukana.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AffrontAppreciationAsante
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
  • Terms of Service
  • Privacy Policy
  • About us

Copyright © 2017 - 2020 TR Marketing Group, Inc. All rights reserved.

Do Not Sell My Personal Information

Exercise your consumer rights by contacting us below Privacy Policy

[email protected]

Personalized advertisements

Turning this off will opt you out of personalized advertisements delivered from Google on this website.

CookiePro
Confirm
Popup Button popup close button