Quotes.wiki
  • Home
  • Tags
  • Authors
  • Contact Us
">
Quotes.wiki
Quotes.wiki
  • Home
  • Tags
  • Authors
  • Contact Us
Matatizo  Quotes
Nina matatizo ya kiafya: Udadisi wa hali ya juu wa kiakili.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
Acute-Intellectual-CuriosityAfyaCuriosity
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Mungu alisema tupendane katika shida na raha; Luka 6:27-36. Katika matatizo mpende hasimuyo. Maumivu ya watu hufanana.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
100AduiAdui-Yako
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Maumivu ya matatizo ya yule aliyekukosea hayana tofauti na maumivu ya matatizo ya wewe uliyekosewa. Adui yako (kwa mfano) akifiwa na mke aliyempenda sana, atajisikia vibaya kama utakavyojisikia vibaya kufiwa na mke uliyempenda sana. Kuwa...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
100AduiAdui-Yako
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Maombi ya sifa huunganisha watu wa Mungu na hutayarisha njia kwa ajili ya uwezo wa Mungu katika maisha yetu. Thamani ya maombi ya sifa wakati wa matatizo ni kuimarisha imani yetu, na kuwa karibu na...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AlmightyAmriApostle
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Nukuu ya mwandishi wa vitabu wa Brazili, Paulo Coelho, “Tunapopenda tunajitahidi siku zote kuwa wazuri zaidi kuliko jinsi sisi wenyewe tulivyo. Tunapojitahidi kuwa wazuri zaidi kuliko jinsi sisi wenyewe tulivyo, kila kitu katika maisha yetu...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AttitudeAuthorBahati-Mbaya
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Mwili wako una uwezo wa kujua kabla yako kitakachotokea baadaye. Kama una njaa kwa mfano, mwili wako utakwambia. Kama una kiu, mwili wako utakwambia. Kama unaumwa, mwili wako utakwambia. Kama kuna kitu kibaya kinatarajia kutokea...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AlamuBodyDaemon
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Hakuna shaka yoyote (kwa mfano) kwamba mboga za majani na matunda vina vitamini nyingi mwilini na madini na vitu vyote vizuri katika mwili wa binadamu, na kwamba kadhalika vina kirutubisho cha ufumwele ambacho huzuia kufunga...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
BinadamuBodyConstipation
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Mungu ni mwingi wa hekima, lakini kwa nini alimuumba Shetani? Kwa sababu, Shetani wakati mwingine ni hekima. Ukiendelea kupigwa, bila wewe kupiga, unaweza kuumia, familia yako inaweza kuumia pia! Kuepusha matatizo ya familia yako, wakati...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
FamiliaFamilyFighting
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Ukiona kitu ambacho hukupaswa kuona, au ukisikia kitu ambacho hukupaswa kusikia, fumba macho kwa kuyakodoa! Ulichokiona au kukisikia usikiseme leo na hata milele. Jifanye hukuona kitu, hukusikia kitu. Ukifumbua macho kwa kuyakodoa utapata matatizo, makubwa.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
Close-EyesEverEyes
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Unapokuwa na matatizo makubwa katika maisha, Shetani anakuandama sana, Mungu ana mpango maalumu na maisha yako.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
GodLifeMaisha
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Unapokumbana na matatizo makubwa katika maisha yako ujue Mungu ana mpango maalumu na maisha yako. Ndiyo maana Shetani anakuandama hivyo.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
GodLifeMaisha
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Shetani hataacha kukuandama. Atakuandama mpaka siku utakapookoka. Yaani, siku utakapookolewa na Yesu Kristo, siku ambapo Shetani hatakuwepo tena. Silaha kuu tunayotakiwa kuwa nayo ni imani. Mungu hababaishwi na matatizo yako. Anababaishwa na imani yako.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
DayFaithGod
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
  • Terms of Service
  • Privacy Policy
  • About us

Copyright © 2017 - 2020 TR Marketing Group, Inc. All rights reserved.

Do Not Sell My Personal Information

Exercise your consumer rights by contacting us below Privacy Policy

[email protected]

Personalized advertisements

Turning this off will opt you out of personalized advertisements delivered from Google on this website.

CookiePro
Confirm
Popup Button popup close button