Murphy hakupenda kupoteza muda. Alinyanyuka na kumimina risasi, Mungu akamsaidia akadondosha wawili huku wengine wakipotea kwa kuruka vibaya na kukwepa. Kwa kasi Murphy alikimbia huku ameinama mpaka katika milango mikubwa ya nje, ambayo sasa ilikuwa...
—Enock Maregesi
Baada ya kelele zile Murphy alijisemea moyoni kama angebaki pale alipokuwa amebana au angetoka, washenzi wangemvua nguo; alitaka akimbilie nje lakini akasita. Nje wangeweza kumwona na hivyo kumuua wakati sasa alishaanza jitihada za kuokoa maisha...
Do Not Sell My Personal Information
Exercise your consumer rights by contacting us below Privacy Policy
[email protected]
Personalized advertisements
Turning this off will opt you out of personalized advertisements delivered from Google on this website.