Quotes.wiki
  • Home
  • Tags
  • Authors
  • Contact Us
">
Quotes.wiki
Quotes.wiki
  • Home
  • Tags
  • Authors
  • Contact Us
Kamishna  Quotes
Kiongozi wa kanda ya Afrika ya Kusini ya Tume ya Dunia Kamishna Profesa Justin Mafuru, alijitolea maisha yake kufanya vitu viwili vya msingi kwa ajili ya dunia: Kukomesha madawa haramu ya kulevya nchini Tanzania na...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AtomAtomuBig-Bang
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Mapema, kabla ndege haijaondoka na baada ya kuagana na maafisa waliomsindikiza, Nanda aliingia katika ndege na kutafuta namba ya kiti chake. Alivyoiona, alishtuka. Msichana mrembo alikaa kando ya kiti (cha Nanda) akiongea na simu, mara...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
BamaBangkokBeautiful-Girl
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Kamishna … karibu,” alisema Nafi huku akisimama na kutupa gazeti mezani na kuchukua karatasi ya faksi, iliyotumwa.”Ahsante. Kuna nini …””Kamishna, imekuja faksi kutoka Oslo kama nilivyokueleza – katika simu. Inakutaka haraka, kesho, lazima kesho, kuwahi...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
Afrika-KusiniAlhamisiChuo
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
  • Terms of Service
  • Privacy Policy
  • About us

Copyright © 2017 - 2020 TR Marketing Group, Inc. All rights reserved.

Do Not Sell My Personal Information

Exercise your consumer rights by contacting us below Privacy Policy

[email protected]

Personalized advertisements

Turning this off will opt you out of personalized advertisements delivered from Google on this website.

CookiePro
Confirm
Popup Button popup close button