Quotes.wiki
  • Home
  • Tags
  • Authors
  • Contact Us
">
Quotes.wiki
Quotes.wiki
  • Home
  • Tags
  • Authors
  • Contact Us
Watu  Quotes
Be nice to the environment. Be nice to animals. Be nice to people. If you do that, you will leave a mark on the world.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (1 votes, 5.00 )Loading...
AlamaAnimalsBe-Nice
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Unabii ni uwezo alionao mtu wa kuongea mambo matakatifu ya Mungu, kuwaongoza wenzake katika njia njema. Mungu humwambia nabii kitu cha kusema na nabii huwambia wenzake kile ambacho Mungu amemwambia aseme. Mungu hawezi kuongea na...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
ChangeCommunicationDunia
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Radia hakuwa na makosa. Wengi huishi maisha yao bure. Yeye aliishi ya kwake kwa ajili ya watu. Hakuishi tu kama raia wa Tunisia. Aliishi kama raia wa uanadamu, maadili mema na uchapakazi. Watu walimsifu kwa...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
CitizenDuniaGuilty
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Wakati mwingine inaweza kuonekana kuwa kadiri unavyozidi kujitolea kwa ajili ya watu wengine ndivyo unavyozidi kuwa maskini, lakini hii si kweli. Huduma kwa ajili ya watu wengine huleta maana fulani na ukamilifu katika maisha yetu...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
FaithFulfillmentGod
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Silaha kuu ya uchoyo ni kujitolea kwa ajili ya watu wengine. Ni upendo.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
GreedyKujitoleaLove
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Kila mmoja wetu ana kitu cha kutoa. Wengine wana pesa, wengine wana vipaji, wengine wana muda. Vipaji vyote tulivyopewa na Mungu, vikubwa au vidogo, hatuna budi kuvitumia kiukarimu kwa watu wanaovihitaji. Tunapofanya hivyo tunaleta mabadiliko...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
ChangesDuniaEvery-One-Of-Us
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Kutunza siri wakati mwingine ni kitu kigumu sana kwa baadhi ya watu lakini watu wanapaswa kuwa na uwezo wa kutunza siri kujijengea uaminifu, ambao ni siri ya mafanikio.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AbilityMafanikioPeople
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Ukitaka kufanikiwa katika maisha angalia watu wanataka nini halafu wape. Kama wanataka burudani wape. Kama wanataka elimu wape. Kama wanataka bidhaa wape. Kama wanataka huduma wape. Wape kwa msaada wa wataalamu.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
BidhaaBurudaniEducation
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Ujasusi ni kitu cha muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote. Watu wanaoshughulika na ujasusi wanapaswa kuwa makini mno kwani kazi yao ni nyeti sana kulinganisha na kazi za watu wengine. Kosa dogo la kiusalama linaweza...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
CarefulCountryCourse-Of-History
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Kama unataka kuijua vizuri historia ya mwanamke hasa mwanamke unayetaka kuoana naye, usifanye naye mapenzi kwa miezi sita angalau. Ukifanya naye mapenzi kwa miezi sita au zaidi, au ndani ya miezi sita, halafu akakuchanganya kimapenzi,...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
FianceeHistóriaHistory
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Kitabu cha ‘Kolonia Santita’ ni kitabu cha wasomi na wasiokuwa wasomi, watu wa mijini na watu wa vijijini, watu wazima, vijana na watoto. Hadhira ya kitabu hiki ni jamii nzima ya Tanzania.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AudienceBookChildren
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Mungu alisema tupendane katika shida na raha; Luka 6:27-36. Katika matatizo mpende hasimuyo. Maumivu ya watu hufanana.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
100AduiAdui-Yako
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Watu hubariki wenzao ambao ni wakarimu, na hulaani wenzao ambao ni wabahili. Ukiwa mkarimu kwa watu umekopa neema kutoka kwa Mungu, na Mungu atakulipa kutokana na matendo yako.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
ActsBarikiBless
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Ukikosana na mwanamke usimpige mchana. Mpige usiku. Ukimpiga mchana watu watasema umemwonea. Ukimpiga usiku watu watasema huenda alikuwa na makosa. Wanawake hawatakiwi kupigwa.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
MakosaMchanaMistakes
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Usuluhishi ni dawa ya uhusiano mwema miongoni mwa watu.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
DawaGood-RelationshipMedicine
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Uko wapi ubinadamu wa watu?

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AmaniCrueltyHumanity
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Upendeleo na msamaha ni sumu na baraka ya usuluhishi miongoni mwa watu kwa mpangilio huo. Yaani, upendeleo ni sumu ya usuluhishi, msamaha ni baraka ya usuluhishi. Usuluhishi wenye msamaha, usiokuwa na upendeleo wowote, ni dawa...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AntidoteBarakaBlessing
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
Miezi-MitatuMiezi-SitaPeople
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Kama umefanya au umesema kitu kibaya na ukasema ukweli mbele ya mtu au ya watu, omba msamaha kupata tena kibali cha umma.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
ApprovalForgivenessKibali
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Sigara zilizidi kuvutwa, ndani ya nyumba, na magaidi wale wawili, wakati Murphy akisinzia kudanganyia kama kweli nguvu zilishamwisha. Alimfikiria tena mpenzi wake Sophia, safari hii sana. Alimkumbuka Debbie; hakujua alikuwa wapi na hakujua mama yake...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
CigaretteCriminalsDebbie-Patrocinio-Abrego
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Mungu alitengeneza familia. Alitengeneza koo, makabila na mataifa, ili watu wajuane na kuheshimiana.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
ClansFamiliaFamily
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Ukiwapa watu kile wanachokitaka wataendelea kukihitaji.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
JamiiMahitajiNeeds
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
  • Terms of Service
  • Privacy Policy
  • About us

Copyright © 2017 - 2020 TR Marketing Group, Inc. All rights reserved.

Do Not Sell My Personal Information

Exercise your consumer rights by contacting us below Privacy Policy

[email protected]

Personalized advertisements

Turning this off will opt you out of personalized advertisements delivered from Google on this website.

CookiePro
Confirm
Popup Button popup close button