Quotes.wiki
  • Home
  • Tags
  • Authors
  • Contact Us
">
Quotes.wiki
Quotes.wiki
  • Home
  • Tags
  • Authors
  • Contact Us
Imani  Quotes
Shetani hataacha kukuandama. Atakuandama mpaka siku utakapookoka. Yaani, siku utakapookolewa na Yesu Kristo, siku ambapo Shetani hatakuwepo tena. Silaha kuu tunayotakiwa kuwa nayo ni imani. Mungu hababaishwi na matatizo yako. Anababaishwa na imani yako.

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
DayFaithGod
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Wakati mwingine inaweza kuonekana kuwa kadiri unavyozidi kujitolea kwa ajili ya watu wengine ndivyo unavyozidi kuwa maskini, lakini hii si kweli. Huduma kwa ajili ya watu wengine huleta maana fulani na ukamilifu katika maisha yetu...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
FaithFulfillmentGod
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Maombi ya sifa huunganisha watu wa Mungu na hutayarisha njia kwa ajili ya uwezo wa Mungu katika maisha yetu. Thamani ya maombi ya sifa wakati wa matatizo ni kuimarisha imani yetu, na kuwa karibu na...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
AlmightyAmriApostle
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Tunapaswa kujisikia furaha kuu tunapokumbana na majaribu mbalimbali katika maisha yetu, tukijua kwamba kujaribiwa kwa imani yetu hutufanya wavumilivu na wapiganaji katika Jina la Yesu, na tunapaswa kuruhusu uvumilivu katika maisha yetu kwa sababu Mungu...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
CompleteFaithFighting
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
Kila mtu ana tabia, matendo, mawazo na akili yake tofauti na mtu mwingine hapa duniani. Usimdharau mtu ukidhani ana akili kama za kwako au anafikiri kama unavyofikiri wewe kwani kila mtu aliumbwa kivyake na Mwenyezi...

—Enock Maregesi

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...
ActsAkiliAttitude
Facebooktwitterredditpinterestlinkedintumblr
  • Terms of Service
  • Privacy Policy
  • About us

Copyright © 2017 - 2020 TR Marketing Group, Inc. All rights reserved.

Do Not Sell My Personal Information

Exercise your consumer rights by contacting us below Privacy Policy

[email protected]

Personalized advertisements

Turning this off will opt you out of personalized advertisements delivered from Google on this website.

CookiePro
Confirm
Popup Button popup close button